Halmashauri ya Mji wa Babati inaendelea na uuzaji wa viwanja vilivyo katika eneo la Maisaka katani. Eneo hilo pia litakuwa na Maeneo mbalimbalimbali ya uwekazaji kama vile Vyuo, Ujenzi wa Stand ya kisasa, viwanda pamoja na makazi. Eneo hilo lipo Kilomita chache kutoka Mjini pia lipo pembezoni mwa barabara kuu ya Babati - Arusha. Wananchi wote mnakaribishwa kuja kuwekeza Babati.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati