Mh. Paulina Gekulu akiwahamasisha wajasiriamali kushiriki mafunzo ya ujasiriamali na kuwashauri kujiunga kakika vikundi kitu ambacho kitawapelekea kupata mikopo isiyokua na riba endapo watakidhi vigezo.
Wajasiriamali waliopatiwa mafunzo na wakufunzi kutoka Chuo cha Elimu kwa wote walihimizwa kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa ujuzi waliopatiwa ili kupata kipato.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati