Imeandikwa na Nyeneu, P. R
"Kuna mambo mengi yanaweza kufanyika kuliko kufikiria miaka ya sitini, miaka ya sabini..kwamba Babati yetu ni ile ile haitaendelea. Babati lazima iendelee". Alisisitiza Mkuu wa Mkoa.
"Haiwezekani watu wote tukalime, wapo watakao kwenda kulima, watakao kwenda viwandani na pia wapo watakao kwenda michezoni". Aliongezea RC
"Sasa wavuta bangi wa Babati wakatafute kazi nyingine, na wauza bangi wa Babati wakatafute kazi nyingine". Aliendelea kusisitiza Mkirikiti.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati