Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bi. Pendo E.Mangali amemkabidhi Ofisi rasmi Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Mji wa Babati CPA.Shaaban Abdurahman Mpendu na Bi.Pendo Mangali amepangiwa majukumu katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga tunamtakia kila la kheri katika kituo kipya cha kazi.
Katika makabidhiano hayo yamehudhuriwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mhe.Kololi, Mkuu wa Idara ya Utumishi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri ya Mji wa Babati.
Tunamkaribisha sana CPA.Shaaban Mpendu katika kuendeleza gurudumu la maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati