Kamati ya Fedha na Uongozi Halmashauri ya Mji wa Babati imefanya ziara ya kukagua maeneo yanayopendekezwa kufanyika mradi wa ujenzi wa vyoo vya kulipia katika uwanja wa Tanzanite kwaraa.
Akizungumza kwenye Ziara hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mhe. Abdulrahman Kololi ameagiza kuwa ujenzi uzingatie ubora Pamoja na thamani ya fedha.
Jumla ya matundu sita ya vyoo yanatarajiwa kujengwa katika maeneo tofauti tofauti kuzunguka uwanja wa Tanzania kwaraa ili kuongeza mapato ya Halmashauri.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati