Ili kupata uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari lazima mzazi afanye yafuatayo;-
1. lazima mzazi apate nafasi ya mwanafunzi katika Shule anayomuhamishia
2. lazima Mzazi aandike Barua na ahakikishe imesainiwa na Mkuu wa Shule Husika
Mfano;-
………………………,
P.O. Box …..,
……………
Date……………
Katibu Tawala (M),
S.L.P,….,
…………..
K.K Afisa Elimu Sekondari,
Halmashauri ya Wilaya ya …………,
S.L.P …………
…………….
K.K Mkuu wa Shule,
Shule ya Sekondari …………….,
S.L.P …………
……………..
K.K Mkuu wa Shule,
Shule ya Sekondari ………………,
S.L.P ……..,
…………………
YAH: OMBI LA UHAMISHO WA MWANAFUNZI ………………………..kidato cha……………..mwaka……………
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Mimi mzazi wa mwanafunzi mtajwa hapo juu, anayesoma shule ya Sekondari ya ……………….. kidato cha ………….mwaka ………………. Ninaomba uhamisho wa mwanafunzi huyu ili asome shule ya Sekondari ……………. iliyopo Halmashauri ya ……………….
Sababu ya uhamisho huu ni ………..……………………………………………...........................................
…………………………………………………………………………………………………………………………………………
………………………………………………………………………………………………………………………………………
Asante.
……………………….
……………………….
MZAZI WA MWANAFUNZI
3. Picha saba (7) za passport kama Mtoto anahamia nje ya mkoa wa Manyara
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati