Halmashauri ya Mji Babati imepata idhini ya utekelezaji wa Ajira Mpya katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa barua ya tarehe 13 Mei, 2022 kutoka kwa Katibu Mkuu Utumishi.
Hivyo, Mkurugenzi wa Mji anawatangazia watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji wa Babati, kuomba nafasi za kazi zilizotangazwa kuanzia leo tarehe 24/05/2022.
Kwa ufafanuzi, sifa na vigezo, pakua tangazo hapo chini.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati