Mkuu wa wilaya ya Babati akimpa chanjo mtoto siku ya Ijuma Tarehe 28/04/2017 katika wiki ya chanjo inayoadhimishwa kila wiki ya mwisho wa mwezi wa nne Duniani.Uzinduzi huo kwa Halmasahuri ya Babati ulifanyika Hospitali ya Mji Mrara.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati