• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Vijiji 10 katika Wilaya ya Babati vya kunufaika na ufugaji wa kuku wa kisasa.

Imechapishwa: June 26th, 2025

Jumla ya Vijiji 10 vinavyounda Jumuiya ya wanyama pori Burunge (WMA) katika Wilaya ya Babati vinatarajiwa kunufaika na mradi wa ufugaji wa kuku aina ya Sasso ili kukidhi mahitaji ya soko la nyama za kuku katika hoteli za kitalii zilizipo kwenye maeneo yao pamoja na maeneo jirani.

Akizungumza katika kikao kazi Mkuu wa Wilaya Babati Mhe. Emmanuela Kaganda amesema lengo la mradi ni kuwainua wananchi kiuchumi kwa ngazi ya kaya,pia ametoa rai kwa wadau wa Sekta za utalii kuunga mkono jitihada za wananchi hao kwa kununua kuku watakaozalishwa.

Aidha katika kikao hicho wadau wa Maendeleo kutoka kampuni ya Silver land ambao ni wasambazaji wa vifaranga na vyakula vya kuku wameahidi kutoa ushirikiano wa kitaalam katika kuwawezesha wananchi kufuga kuku kwa njia ya kisasa pamoja na kuahidi kuwapa mafunzo na vifaranga 500 pamoja na chakula cha kuku kwa wananchi 60 ambao watapewa mafunzo ya kulea vifaranga wadogo(mother unit)kutoka katika vijiji hivyo kama mtaji wa kuanzia.

Pia Afisa masomo kutoka kampuni ya Silver land Bi. Mwanamvua S.Ngocho ameeleza kuwa kwa vifaranga 500 mfugaji ana weza tengeneza faida ya takribani milioni kwa wiki nne.

Kwa upande wao wadau wa utalii kutoka Chemchem Association wameahidi kutoa soko la uhakika kwa kuku watakaozalishwa na wananchi kutoka vijiji hivyo.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Mkuu wa Wilaya ya Babati amefanya ziara ya kutembelea miradi ya Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Mji Babati

    July 01, 2025
  • Usafi umeendelea katika Machinjio yaliyopo katika Mtaa wa Maisaka B.

    July 01, 2025
  • Mhe.Emmanuela amekabidhiwa gari katika Viwanja vya Mkuu wa Mkoa wa Manyara.

    June 30, 2025
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati ameendelea na ziara ya Kata kwa Kata

    June 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati