ULGSP
Halmashauri ya Mji wa Babati kwa mwaka wa fedha 2016/2017 na 2017/2018 iliidhinishiwa jumla ya Tshs.5,958,259,596.
Tarehe 23/10/2017 Halmashari ya Mji wa Babati iliingia mkataba na kampuni ya Rocktronic Ltd ya Moshi wenye gharama ya Tshs 5,643,118,646.36 bila ya VAT kwa kujenga km 4.108 kwa muda wa miezi 12 na mnamo tarehe 21/03/2017 Halmashauri ya Mji wa Babati iliingia mkataba na kampuni ya DOCH LTD ya Dar es salaam wenye gharama ya Tshs 450,090,000 bila VAT kwa kusimamia mradi.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati