Imechapishwa: April 30th, 2020
Baadhi ya waheshimiwa madiwani wakiwa katika mkutano wa kawaida wa Baraza la madiwani uliofanyika katika ukumbi wa Mji Halmashauri ya mji Babati.
...
Imechapishwa: April 28th, 2020
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Babati Mh. Yona Q. Wawo akiwa na kamati ya fedha na uongozi wakikagua Mradi wa ujenzi wa shimo la Maji taka na ukarabati wa choo cha mabasi stendi ya Mabasi Makata...
Imechapishwa: March 17th, 2020
Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bw. Fortunatus Fwema akiongozana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) tarehe 13 Machi, 2020 ilifanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Babati...