Imechapishwa: October 1st, 2020
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF umeendesha zoezi la uhawilishaji wa ruzuku kwa kaya maskini. Zoezi hilo lililochukua muda wa siku mbili yaani tarehe 29 na 30 Septemba 2020 ikiwa ni malipo ya awamu...
Imechapishwa: September 24th, 2020
Idara ya maendeleo ya jamii kupitia kitengo cha mikopo katika halmashauri ya mji wa Babati leo tarehe 23. 9. 2020 imeendelea kutoa mafunzo kwa vikundi vinavyotarajiwa kupata mikopo. Mafunzo hayo yanah...
Imechapishwa: September 17th, 2020
Imeandikwa na Nyeneu, P. R
Kamati ya Menejimenti ya Halmashauri ya Mji wa Babati pamoja na kikosi kazi leo tarehe 17 septemba 2020 ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mji Bw. Luther Daniel wametembel...