Imechapishwa: June 14th, 2021
Na Nyeneu, P. R
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Lazaro Jacob Twange pamoja na viongozi wengine kwa kushirikiana na watumishi na wananchi wilayani humo jana tar 13 mwezi Juni ameupokea Mwenge wa Uhuru...
Imechapishwa: May 17th, 2021
Na Nyeneu, P. R
Halmashauri ya Mji wa Babati kupitia Hospitali ya Mji, leo tarehe 17 Mei 2021 imefanya uzinduzi wa mpango wa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto walio na umri chini ya miaka mi...
Imechapishwa: May 10th, 2021
Na Nyeneu, P. R
Katibu Tawala Wilaya ya Babati Ndg. Halfan Matipula ameziasa Bodi na kamati ya Huduma za Afya ikiwa tu baada ya uzinduzi kuwa jukumu lao kubwa ni kuhakikisha huduma za afya zinatole...