Imechapishwa: June 22nd, 2021
Afisa lishe wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bi Namsifu Godwin Akitoa mafunzo kwa vitendo katika kijiji cha Chemchem ili kutokomeza tatizo la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5....
Imechapishwa: June 14th, 2021
Na Nyeneu, P. R
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Lazaro Jacob Twange pamoja na viongozi wengine kwa kushirikiana na watumishi na wananchi wilayani humo jana tar 13 mwezi Juni ameupokea Mwenge wa Uhuru...
Imechapishwa: May 17th, 2021
Na Nyeneu, P. R
Halmashauri ya Mji wa Babati kupitia Hospitali ya Mji, leo tarehe 17 Mei 2021 imefanya uzinduzi wa mpango wa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto walio na umri chini ya miaka mi...