Thursday 28th, March 2024
@Vituo vya Kufanyia Mitihani
Mitahani ya Taifa Kidato cha Nne inatarajiwa kuanza Tarehe 30/10/2017. Halmashauri ya Mji Babati inatarajia kusimamamia Mitihani hiyo katika shule zote za Serikali na Binafsi. Pia tutakuwa na Vituo vya watahiniwa Binafsi.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati