• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Miji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumisha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Uchaguzi

Bw.Bashan Kinyunyu

Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi

  • Halmashauri ya mji wa Babati ina Jimbo moja tu lijulikanalo kama Jimbo la Babati Mjini. Jimbo hili lina Jumla ya kata nane (8), Mitaa 35 na Vijiji 13 vyenye jumla ya vitongoji 54. Kwa mujibu wa takwimu za uandikishaji uliofavyika kwa kutumia BVR mwaka 2015 na kutumika katika uchaguzi mkuu wa mwaka Oktoba, 2015 Jimbo lilikuwa na jumla ya wapiga kura 54,404 waliokuwa katika daftari la wapiga kura.
  • Kitengo cha uchaguzi kina majukumu makubwa yafuatayo:
  • Kuratibu na kusimamia zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura katika jimbo
  • Kusimamia chaguzi zote na Kuratibu mchakato mzima wa uchaguzi katika jimbo
  • Kusimamia na Kuratibu chaguzi ndogo katika jimbo
  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa zote za mambo yahusuyo uchaguzi  kwa mamlaka zote zinazohusiana na maswala ya uchaguzi
  • Kuratibu na kutoa elimu ya mpiga kura
  • Pokea vifaa vya Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi na TAMISEMI, kuvitumia na Kuvitunza

imeandaliwa na    Bashani G. Kinyunyu

                             Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi

                             Halmashauri ya Mji

                             BABATI

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 BABATI MJI December 18, 2020
  • ORODHA YA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA October 20, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • TANGAZO KWA WALE AMBAO HAWAJAENDELEZA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA UWANJA WA KWARAA August 15, 2020
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Baraza la Mtihani (NECTA) latangaza matokeo - CSEE, FTNA, QT na SFNA

    January 15, 2021
  • TASAF yazindua mfumo mpya wa malipo kwa Walengwa

    December 18, 2020
  • Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi amshukuru Mhe. Rais Mbele ya Baraza la Madiwani Mjini Babati

    December 11, 2020
  • Karibuni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino - DC Twange

    November 28, 2020
  • Tazama zaidi

Video

MWENGE WA UHURU 2018 KARIBU BABATI MJI.
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati