Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati anawatangazia watumishi wote kununua viwanja vya matumizi mbalimbali vilivyopo katika eneo la Maisaka Katani kwa mkopo. Kwa maelezo zaidi na ufafanuzi tafadhali bonyeza kiunganishi hapa chini ili kupakua tangazo.