• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Miji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumisha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Utawala

Bw.Sadiki Mrisho

Kaimu Mkuu wa Idara ya Utawala na Utumishi

Halmashauri ya Mji wa Babati ina jumla ya Kata 8, Mitaa 35,Vijiji 13 na Vitongoji 54.Halmasahuri ina Mbunge 1 wa kuchaguliwa na ina Madiwani 8 wa kuchaguliwa pamoja na Madiwani 3 wa viti maalum.Idara ya utawala na utumishi inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma za mwaka 2002 pamoja na kanuni zake za mwaka 2003,Taratibu za uendeshaji wa utumishi wa umma za mwaka 2003,kanuni za kudumu za utumishi wa umma za mwaka 2009 toleo la 3 pamoja na miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali ihusuyo Utumishi wa umma.

Kazi na Majukumu ya Idara ya utawala na Utumishi

  • Kushughulikia stahili mbalimbali za watumishi ikiwemo mishahara,matibabu,likizo, masomo n.k
  • Kusimamia/kushughulikia stahili wa Waheshimiwa Madiwani ikiwemo posho za mwezi za vikao.
  • Kusimamia kwa kushirikiana na wakuu wa Idara na Vitengo kuhakiki na kuondoa watumishi wote wasiostahili kulipwa mishahara kwa sababu mbalimbali.
  • Kutafsiri sheria,Kanuni,Taratibu pamoja na miongozo mbalimbali inayohusu utumishi wa Umma.
  • Kusafisha taarifa za watumishi (data cleaning) kupitia mfumo wa taarifa za kiutumishi na Mishahara (HCMIS-Lawson)
  • Kusimamia nidhamu na maadili ya watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Babati
  • Kusimamia,kuandaa,kuratibu uendeshaji wa vikao katika ngazi ya Halmashauri na ngazi za msingi
  • Kusimamia na kuratibu zoezi la ujazaji wa fomu za mapitio ya wazi na tathmini ya utendaji kazi (OPRAS)
  • Kushughulikia mafao ya watumishi ambao ambao utumishi wao umekoma kwa sababu mbalimbali za kisheria
  • Kuratibu masuala ya Ajira na kuthibitisha kazini watumishi
  • Kuandaa mpango wa mafunzo kwa watumishi wote.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 BABATI MJI December 18, 2020
  • ORODHA YA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA October 20, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • TANGAZO KWA WALE AMBAO HAWAJAENDELEZA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA UWANJA WA KWARAA August 15, 2020
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Baraza la Mtihani (NECTA) latangaza matokeo - CSEE, FTNA, QT na SFNA

    January 15, 2021
  • TASAF yazindua mfumo mpya wa malipo kwa Walengwa

    December 18, 2020
  • Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi amshukuru Mhe. Rais Mbele ya Baraza la Madiwani Mjini Babati

    December 11, 2020
  • Karibuni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino - DC Twange

    November 28, 2020
  • Tazama zaidi

Video

MWENGE WA UHURU 2018 KARIBU BABATI MJI.
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati